Klabu ya Simba iliyotwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2019/2020 itakabidhiwa kombe la ubingwa huo Julai 8, 2020 kwenye uwanja wa Majaliwa uliopo Ruangwa mkoani Lindi mara baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC

ADVERTISE HERE