Mkude kamili kuivaa Azam Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Jul 2020
Mkude kamili kuivaa Azam Fc

Kiungo fundi wa Simba Jonas Mkude amerejea kikosini baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa michezo miwili

Aidha nyota huyo pia amepona majeraha yaliyomuweka nje kwa takribani wiki mbili na hivyo anaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachoivaa Azam Fc leo kama itampendekeza kocha Sven Vandenbroeck

Kuelekea mchezo huo Sven amesema vijana wake wako tayari kusaka matokeo yatakayowapeleka nusu fainali ya michuano hiyo

"Wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri, tunajua Azam ni timu imara, ingawa tumeifunga katika mechi tatu zote zilizopita lakini bado haitufanyi tujisikie itakuwa rahisi tumejipanga kuhakikisha tunashinda,"amesema

Ushindi katika mchezo wa leo utawahakikishia Simba kukutana na Yanga kwenye mchezo wa nusu fainali

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’