Mo ataka maoni ya mashabiki Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jun 2020
Mo ataka maoni ya mashabiki Simba

Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amewapa nafasi mashabiki wa Simba kutoa maoni yao kuhusu jambo ambalo wangependa kuona linafanywa na klabu yao pendwa msimu ujao

Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Mo amewauliza mashabiki kuwa ni kitu gani wangependa kuona Simba inafanya msimu ujao

Juzi baada ya Simba kutwaa ubingwa wa tatu mfululizo ligi kuu ya Vodacom, alisema kuwa wanahitaji kuendeleza moto huo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao

"Huu ni ushindi wetu sote. Nawapongeza na kuwashukuru wachezaji, benchi la ufundi, wajumbe wa bodi, viongozi, wanachama, mashabiki, na wapenzi wote wa SIMBA. Safari inaendelea! Tuendeleze mshikamano ili kuweza kushindana kwa kiwango cha juu kwenye Klabu Bingwa Afrika," alisema

Ni jambo gani WanaMsimbazi tungependa lifanyike ili kuhakikisha msimu ujao Simba inavuka robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa, hatua ambayo iliishia mwaka juzi?

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’