Baada ya kutwaa ubingwa wa tatu mfululizo mkoani Mbeya jana, kikosi cha Simba kimerejea salama jijini Dar es salaam kuendelea na maandalizi ya mchezo wa kombe la FA dhidi ya Azam Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano kwenye uwanja wa Taifa, saa moja jioni



ADVERTISE HERE