Simba bingwa 2019-20

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jun 2020
Simba bingwa 2019-20

Wekundu wa Msimbazi Simba wamejihakikishia ubingwa wa tatu mfululizo leo baada ya klabu ya Azam kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Biashara United

Azam imefikisha alama 59 ambapo hata ikishinda mechi sita zilizobaki itafikisha alama 77 ambazo Simba tayari imezivuka

Aidha hata Yanga iliyoshinda na kufikisha alama 60 leo, ikitokea Simba imepoteza mechi zote saba, watatakiwa wafunge mabao sio chini ya 40 kuweza kufikia idadi ya mabao yaliyofungwa na Simba

Pengine mabingwa hao watetezi, watahitaji alama moja tu kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania Prisons ili kufikisha alama 79 ambazo hakuna timu itaweza kuzifikia

Ni dhahiri shamrashamra za ubingwa Msimbazi zinaweza kuanza...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’