Bocco yuko tayari kunyanyua taji la tatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jun 2020
Bocco yuko tayari kunyanyua taji la tatu

Kama sio leo au kesho, basi ni suala la muda tu Simba itatangaza ubingwa wa tatu mfululizo ligi kuu ya Vodacom ambapo nahodha wake John Bocco atakuwa na jukumu la kupokea kombe hilo

Baada ya kulitwaa mara tatu mfululizo, TFF pamoja na wadhamini, watalazimika kutafuta kombe jingine kwa ajili ya msimu ujao kwani hili Simba wanasepa nalo moja kwa moja

Tayari shamrashamra za ubingwa zimeanza kunoga mitaani, Wanamsimbazi wakiwa tayari kushangilia mafanikio hayo

Afisa Habari na Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesema huu ni mwanzo tu, kwani wamepania kutwaa mataji 10 mfululizo..!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’