Wachezaji Simba kujaa 'manoti'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jun 2020
Wachezaji Simba kujaa 'manoti'

Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya klabu ya Simba, Mohamed Dewji pamoja na wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi wamekubaliana kuwa zawadi ya ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara (Milioni 87) watapewa wachezaji na viongozi wa bechi la Ufundi kugawana.

Aidha, Mo amejitolea Milioni 200 kwa wachezaji na viongozi wa bechi la Ufundi Kama zawadi yake kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu.

Fedha nyingine ambazo wachezaji wa Simba watapata ni Milioni 100 kutoka Sportpesa ikiwa ni matakwa ya kimkataba. -

Pia Fetty Dewji kupitia udhamini wa Mo Energy na Mo Halisi watatoa zawadi ya Milioni 75, wadhamini wa kutengeneza Jezi za Klabu ya Simba Kampuni ya Uhlsport wao watatoa milioni 50 Kama zawadi ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara (2019/20)

Fedha hizo zote Bodi imedhamilia wapewe wachezaji na viongozi wa bechi la Ufundi

Jumla ya Fedha Milioni 512 ambapo kama utafanyika mgawo sawa, kiila mchezaji na Kiongozi wa bechi la Ufundi atapata Milioni 12.8

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’