Simba kuamua tarehe ya kukabidhiwa ubingwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jun 2020
Simba kuamua tarehe ya kukabidhiwa ubingwa

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Steven Mguto amesema wamepanga kuikabidhi Simba ubingwa wake katika mchezo wa mwisho katika hafla ambayo itaambatana na shamrashamra za kufunga msimu

Hata hivyo Mguto amesema uongozi wa klabu ya Simba unaweza kupeleka maombi kama wangependa kukabidhiwa ubingwa wao mapema kabla ya Julai 26

Juzi baada ya ushindi dhidi ya Mbeya City, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' aliwauliza mashabiki wa Simba kuwa wangependa lini wakabidhiwe ubingwa

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa, amesema viongozi watakutana kufanya uamuzi iwapo wasubiri mpaka siku ya mwisho ya kumaliza msimu au waombe kukabidhiwa kombe lao mapema

Simba inaweza kutwaa ubingwa keshokutwa Jumapili kama itaifunga Tanzania Prisons hivyo kusubiri mwezi mmoja zaidi ili kukabidhiwa kombe ni jambo ambalo mashabiki wengi hawaliungi mkono

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’