Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kinaendelea kujifua mkoani Mbeya kuelekea mchezo muhimu wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons
Mchezo huo utapigwa siku ya Jumapili, katika dimba la sokoine
Ni mchezo ambao utaamua kama Mnyama anaondoka na kombe lake Mbeya au atasubiri mkapa wiki ijayo watakapokwenda mkoani Mtwara
Sven hakuwapa mazoezi makali sana vijana wake leo, aliwapa nafasi ya kucheza zaidi mpira

ADVERTISE HERE