Mechi dhidi ya Tanzania Prisons kupigwa bila mashabiki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jun 2020
Mechi dhidi ya Tanzania Prisons kupigwa bila mashabiki

Klabu ya Mbeya City imezuiwa kucheza na mashabiki katika uwanja wake wa nyumbani wa Sokoine Jijini Mbeya, baada ya kukiuka mwongozo wa Wizara ya Afya juu ya tahadhari dhidi ya corona katika mchezo wao dhidi ya Simba

Kulingana na taarifa iliyotolewa leo na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Serikali imezuia mashabiki kuingia viwanjani katika mechi zote zinazohusu vilabu vya Simba na Yanga nje ya Dar es Salaam

Keshokutwa Simba itashuka kwenye uwanja wa Sokoine kuikabili Tanzania Prisons lakini kutokana na uamuzi huu uliochukuliwa na Serikali, hakuna mashabiki wataruhusiwa kushuhudia mchezao huo muhimu kwa Simba ambayo inahitaji ushindi ili kutetea ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’