Uwanja wa Sokoine utahimili shamrashamra za Wanamsimbazi Jumamosi?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jun 2020
Uwanja wa Sokoine utahimili shamrashamra za Wanamsimbazi Jumamosi?

Kuelekea mchezo dhidi ya Tanzania Prisons, mashabiki wa Simba kutoka maeneo mbalimbali wameianza safari kuelekea mkoani Mbeya kushuhudi mchezo huo ambao unaweza kuihakikishia Simba ubingwa wa tatu mfululizo

Kumekuwa na wasiwasi kuwa mashabiki wanaweza kupigwa marufuku kama ulivyokuwa uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma baada ya mchezo kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga

Aidha idadi ya mashabiki waliojitokeza jana kwenye mchezo dhidi ya Mbeya City, imewaweka hatarini Mbeya City kuzuiwa kucheza bila ya mashabiki

Huenda Simba italazimika kusubiri mpaka Julai 16 kukabidhiwa taji lake kwenye uwanja wa Taifa watakapocheza na Mbao Fc

Shamra shamra hizo ni wazi zitapelekwa uwanja wa Taifa kwa kuwa uwanja huo ni mkubwa na utamudu 'nyomi' la mashabiki ambao watajitokeza kuwa sehemu ya kumbukumbu ya ubingwa wa tatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’