Kimahesabu, alama moja inatosha kuipa ubingwa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jun 2020
Kimahesabu, alama moja inatosha kuipa ubingwa Simba

Hakuna ubishi mchezo dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Jumamosi kwenye uwanja wa Sokoine, utaihakikishia Simba ubingwa wa tatu mfululizo hata kama itapata alama moja tu

Baada ya mechi zilizopigwa leo, Azam Fc kupoteza dhidi ya Kagera Sugar na Yanga kulazimishwa sare dhidi ya Namungo Fc, ni matokeo ambao yameirahisishia kazi Simba

Mpaka sasa Simba inaongoza ligi kwa tofauti ya alama 20 dhidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili ikiwa na alama 58, mabingwa hao a nchi wakiwa na alama 78

Pengine mwali anaweza kuwepo uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Prisons tayari kwa Mnyama kukabidhiwa kombe lake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’