Kiungo fundi wa Simba Jonas Mkude amefungiwa mechi mbili na Kamati ya Nidhamu ya TFF kufuatia tukio la kumpiga kiwiko mchezaji wa Biasharara United katika mchezo wa ligi kuu
Mkude pia ameoigwa faini ya Tsh laki tano
Adhabu kama hiyo imemkumba mchezaji wa Yanga Bernard Morrison ambaye pia alifanya tukio kama hilo kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons
ADVERTISE HERE