Akili yetu iko Mbeya - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jun 2020
Akili yetu iko Mbeya - Manara

Wakati sakata la winga wa Yanga Bernard Morrison likizidi kushika kasi, Bodi wa kitengo cha habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara, amesema kwa sasa sio wakati wa kuzungumza masuala ya usajili kwani akili yao iko kwenye ubingwa

Jana Morrison alikana kusaini mkataba mpya na Yanga na kusisitiza kuwa ataondoka katika klabu hiyo mwezi Julai pale mkataba wake wa miezi sita

Manara amesema wanahabari wamekuwa wakiwatumia jumbe mbalimbali wakitaka wafunguke kuhusu mchezaji huyo kudaiwa kumalizana na mabingwa hao wa nchi

"Nimeamka asubuhi naona sms nyingi za Wanahabari kuhusu mahojiano ya Mwandishi Saleh Ally na mchezaji mahiri wa timu moja nchini, wengi walitaka maoni ya Simba kuhusu mahojiano yake. Niwaambie akili yetu kwa sasa ipo katika ubingwa, wakati wa kuzungumza sarakasi za usajili kwetu sisi bado, sasa tunawaza kikombe chetu tutakichukua lini? Njoo Sokoine Stadium Saa kumi kuona Wafalme wa Soka wa nchi hii," amesema

Saa kumi jioni Simba itashuka kwenye uwanja wa Sokoine kuumana na Mbeya City katika mchezo ambao ushindi utaisogeza Simba karibu na ubingwa wa tatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’