Maandalizi ya mwisho kuelekea mechi ya Mbeya City

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Jun 2020
Maandalizi ya mwisho kuelekea mechi ya Mbeya City

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Sokoine

Leo Simba ilipata nafasi ya kujifua katika uwanja huo utakaotumika kwenye mchezo wa kesho

Meneja wa Mabingwa hao wa nchi Patrick Rweyemamu amesema wachezaji wa timu hiyo wako katika hali nzuri wakiwa na matumaini makubwa kuelekea mchezo huo muhimu kwa Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’