Dozi ya Mbeya City inaandaliwa Mbeya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Jun 2020
Dozi ya Mbeya City inaandaliwa Mbeya

Baada ya kutua mkoani Mbeya hapo jana, mabingwa wa nchi Simba wanaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Sokoine

Ni mchezo ambao Simba imepania 'kusepa' na alama zote tatu ili kuharakisha mpango wa kutwaa ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo

Unaambiwa shamrashamra za ubingwa zinaweza kuanza hukohuko Mbeya kama alama nyingine tatu zitapatikana kwenye mchezo dhidi ya Prisons ambao utapigwa Jumamosi ijayo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
12h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
15h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’