Simba safarini Mbeya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Jun 2020
Simba safarini Mbeya

Kikosi cha mabingwa wa soka nchini, Simba kimeondoka Alfajiri ya leo kuelekea mkoani Mbeya tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa keshokutwa Jumatano

Vinara hao wa ligi kuu ambao wamebakisha alama nane kuhifadhi ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo, watakuwa na mechi mbili mkoani Mbeya dhidi ya Mbeya City na Tanzania Prisons

Kama watafanikiwa kuondka na alama zote sita huko Mbeya, basi huenda wataenda kutangaza ubingwa kule Mtwara watakapokwenda kuivaa Ndanda Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’