Wakati mabingwa watetezi Simba wakiwa uwanja wa Taifa kuikabili Mwadui Fc, mechi nyingine saba za ligi kuu vinatarajiwa kupigwa leo Jumamosi katika viwanja mbalimbali
Mechi za mzunguuko wa 30 zitashuhudia baadhi ya vilabu ambavyo havikuwa na michezo ya viporo vikianza kushuka dimbani leo baada ya mapumziko ya miezi mitatu kutokana na ugonjwa wa corona
Hii hapa ratiba ya mechi zote za leo

ADVERTISE HERE