Kuzishuhudia Simba vs Mwadui Fc Buku tano tu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Jun 2020
Kuzishuhudia Simba vs Mwadui Fc Buku tano tu

Mabingwa wa nchi Simba jioni ya leo Jumamosi watashuka kwenye uwanja wa Taifa kupepetana na Mwadui Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Simba inayosaka alama 13 kutetea ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo, itakuwa ikisaka alama tatu muhimu hasa baada ya kulazimishwa sare katika mchezo uliopita dhidi ya Ruvu Shooting

Viingilio vya mchezo huo utakaoanza saa kumi Alasiri vimewekwa hadharani ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Mashabiki wa Simba wameaswa kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kuiunga mkono timu yao huku wakiaswa kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kulingana na maelekezo ya Serikali

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’