Ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 15 inatarajiwa kuendelea leo, mchezo mmoja ukitarajiwa kupigwa ambapo Stand United itakuwa mwenyeji wa Ndanda FC.
Michezo mingine itapigwa kesho Ijumaa na wikiendi ambapo michezo sita itarushwa mubashara na runinga ya Azam TV
Michezo mingine itapigwa kesho Ijumaa na wikiendi ambapo michezo sita itarushwa mubashara na runinga ya Azam TV
ADVERTISE HERE