Kotei avunja mkataba Ulaya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jun 2020
Kotei avunja mkataba Ulaya

Kiungo Mghana James Kotei amevunja mkataba wake kunako klabu ya Slavia Mozyr inayoshiriki ligi kuu ya Belarus

Kotei alijiunga na timu hiyo miezi mitano iliyopita akitokea klabu ya Kaizer Chiefs ya huko Afrika Kusini ambako pia alivunja mkataba

Hivi karibuni Kotei alikuja hapa nchini kufuatialia mambo binafsi, lakini pia kukiwa na za chini chini kuwa mwamba huyo anayeihusudu sana Simba, anaweza kurejea Msimbazi

Mwezi Januari kwenye usajiri wa dirisha dogo, Kotei aliigomea Yanga iliyokuwa imejitosa kumsajili, akiwafungikia mabosi wa timu hiyo kuwa hapa Tanzania, timu pekee ambayo anaweza kuitumikia ni Simba

Je ni wakati sahihi Kotei akarejeshwa Msimbazi...?

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’