Happy BirthDay Clatous Chama

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Jun 2020
Happy BirthDay Clatous Chama

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mahiri wa Simba Clatous Chotta Chama 'CCC' maarufu kama mwamba wa Lusaka

Misimu yake miwili katika kikosi cha Simba imekuwa na burudani isiyo na kifani kwa mashabiki wa mabingwa hao wa nchi

Ni mchezaji aliyeweza kulinda kiwango chake na mara nyingi huwa hahitaji maelezo marefu kumtambulisha kwani kazi yake inaonekana uwanjani

Happy BirthDay Clatous Chama..!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
42m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’