Sven ataka mechi ya kirafiki kabla kuivaa Mwadui Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Jun 2020
Sven ataka mechi ya kirafiki kabla kuivaa Mwadui Fc

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck ametaka timu yake ipate mchezo mwingine wa kirafiki kabla ya kuivaa Mwadui Fc siku ya Jumamosi kwenye mchezo wa ligi

Mbelgiji huyo amesema wiki mbili za maandalizi hazikutosha ukilinganisha na muda mrefu ambao wachezaji walikaa nyumbani bila ya kucheza mpira

"Nahitaji tucheze mechi nyingine ya kirafiki kabla ya mchezo wetu ujao wa ligi. Tunachohitaji wachezaji wetu wawe tayari kama ilivyokuwa kabla ya kusimama kwa ligi," Sven alinukuliwa na tovuti ya Simba

"Nataka kila mchezaji apate dakika 70 au 90 ndiyo maana wachezaji ambao hawakucheza dhidi ya Ruvu niliwapanga kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Transit Camp asubuhi yake kwa hiyo kila mmoja amepata muda mwingi wa kucheza"

Mchezo dhidi ya Mwadui Fc utapigwa keshokutwa Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
29m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’