Mapema jana, wachezaji na benchi la ufundi klabu ya Simba walitembelea duka la Fussion Sports ambalo linamilikiwa na Wadhamini wa vifaa vya michezo vinavyotumiwa na klabu ya Simba
Mabingwa hao wa nchi walipata fursa ya kufanya shopping ya mahitaji yao bila ya gharama yoyote




ADVERTISE HERE