Nyoni aahidi makubwa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jun 2020
Nyoni aahidi makubwa Simba

Beki kiraka wa Simba Erasto Nyoni amesema ataendelea kuisaidia timu yake kuhakikisha inafanya vizuri na kufikia malengo yake

Nyoni akiwa katika msimu wake wa tatu na klabu ya Simba, amesema bado anajihisi kuwa na deni kubwa katika klabu hiyo aliyojiunga anyo mwaka 2017 akitokea Azam Fc

Aidha Nyoni amesema bado yuko fiti na atahakikisha anawanyamazisha wale wote wanaosema wakati wake umemalizika

"Mimi niko vizuri, naendeleza kutimiza majukumu yangu kama kawaida. Wanaosema mimi ni mzee siwezi kuwajibu nitawajibu uwanjani halafu wao wenyewe ndio watasema kama ni mzee au la," alisema Nyoni

Kumekuwa na maoni kutoka kwa mashabiki ambao wengine wamependekeza kwa uongozi wa Simba kutumia dirisha la usajili litakalofunguliwa August kuboresha safu ya ulinzi ambayo kwa sasa inawategemea zaidi wakongwe Nyoni na Paschal Wawa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’