Kiungo wa Simba Jonas Mkude anaendelea na program maalum ya mazoezi ambayo itamsaidia kurejea kikosini kwa wakati
Mkude alipata majeraha kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC, alianza program hiyo jana
Uongozi wa Simba umesema maendeleo yake ni mazuri
Nyota huyo anatarajiwa kurejea kikosini baada ya wiki mbili
ADVERTISE HERE