Mkude arejea mazoezini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jun 2020
Mkude arejea mazoezini

Kiungo wa Simba Jonas Mkude leo amerejea katika mazoezini akianza na mazoezi mepesi kufuatia majeraha aliyopata kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC wiki iliyopita

Simba leo ilifanya mazoezi ya asubuhi kwenye uwanja wa Uhuru ambapo mara baada ya kufika katika uwanja huo, kocha wa viungo, Adel Zrane alimuwekea kibaiskeli ambacho alitakiwa kunyonga kwa dakika 15 ili kujua yupo fiti kiasi gani

Mkude anatarajiwa kuwa nje kwa wiki mbili ambapo atakuwa tayari kurejea kikosini mwishoni mwa mwezi huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’