Mabadiliko ya kikosi yawakera mashabiki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jun 2020
Mabadiliko ya kikosi yawakera mashabiki

Baadhi ya mashabiki wa klabu ya Simba wamelia na benchi la ufundi kwa kufanya mabadiliko ya kikosi mara kwa mara katika mchezo muhimu

Jana Simba ililazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa

Baada ya kufunga bao, wachezaji wa Simba walionekana 'ku-relax' hasa kwenye kipindi cha kwanza hali iliyowapa nafasi Ruvu Shooting kurejea mchezoni na kufanikiwa kurudisha bao hilo

"Wachezaji wetu wamejisahau sana, sijui walidharau mchezo. Lakini pia kocha nae kazingua, kila siku anajaribu wachezaji tu, hana kikosi cha kwanza. Umeona kipindi cha kwanza timu ilikuwa haieleweki angalau kipindi cha pili tulicheza mpira lakini tulikuwa tumechelewa" alisikika shabiki mmoja

Hata hivyo kocha mkuu wa Simba Sven Vandenbrock amewatoa hofu mashabiki kwani timu yao itarejesha makali yake

Mbelgiji huyo amesema walitarajia kupata changamoto katika mechi za mwanzo baada ya ligi kurejea hasa ikizingatiwa wachezaji walikaa muda mrefu bila ya kucheza mpira

Pamoja na sare hiyo, ni muujiza pekee ambao utaifanya Simba isiweze kutetea ubingwa wake kwa msimu wa tatu mfululizo sasa wakihitaji alama 13 kumaliza kazi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’