TFF kuanza kutumia kanuni mpya za FIFA msimu ujao

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Jun 2020
TFF kuanza kutumia kanuni mpya za FIFA msimu ujao

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema Sheria za mpira wa miguu zilizofanyiwa marekebisho hivi karibuni na Bodi ya Kimataifa ya Mpira wa Miguu (IFAB), zitaanza kutumika hapa nchini baada ya kumalizika kwa msimu wa 2019/20

Pia TFF imezingatia maelekezo ya FIFA katika kukabiliana na changamoto ya janga la corona kwa kufanya marekebisho ya kanuni ya kuingiza hadi wachezaji watano badala ya watatu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’