Kiungo wa Simba Jonas Mkude anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili kufuatia majeraha aliyopata kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC uliopigwa mwanzoni mwa wiki hii
Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba mapema leo, imebainisha kuwa Mkude ataendelea kufanya mazoezi mepesi wakati akiendelea na matibabu ya majerha aliyopata
Nyota huyo huenda akakosa mechi zote za Simba ambazo zitapigwa mwezi huu
ADVERTISE HERE