Majeruhi Simba waibuka mazoezini leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jan 2018
Majeruhi Simba waibuka mazoezini leo
Kocha mpya wa Simba, Pierre Lechantre kwa mara ya kwanza ameanza kukinoa kikosi hicho jioni ya leo kwenye uwanja wa Bandari jijini Dar es Salaam.

Kabla ya kuanza kwa programu za mazoezi, kikosi hicho kilichokuwa chini ya kocha msadizi, Masoud Djuma kilikusanyika kwa pamoja na kuanza kumsikiliza Mfaransa huyo kwa takribani dakika kumi.

Miongoni mwa wachezaji ambao wamehudhuria mazoezi hayo licha ya kuwa majeruhi ni kiungo, Haruna Niyonzima, kipa Said Mohammed 'Nduda' na beki, Salim Mbonde.

Majeruhi hao walijumuika na wachezaji wenzao kumsikiliza Mfaransa huyo kisha kukaa chonjo kutizama wenzao wanavyoendelea na mazoezi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’