Simba yapambana kumrejesha Shiboub

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jun 2020
Simba yapambana kumrejesha Shiboub

Licha ya mipaka ya nchi ya Sudan kuwa bado imefungwa kutokana na changamoto ya ugonjwa wa corona, habari nje kwa mashabiki wa Simba ni kuwa, nyota huyo anaweza kuwasili nchini ndani ya siku mbili au tatu

Afisa Habari wa mabingwa hao wa nchi, Haji Manara, amefichua kuwa uongozi wa timu hiyo umelazimika kutafuta utaratibu mwingine wa kuweza kumsafirisha

"Kama klabu, tumefanya jitihada za kuhakikisha tunamrejesha Shiboub kwa njia nyingine kutokana na mipaka ya nchi ya Sudan kuendelea kufungwa. pengine ndani ya siku mbili au tatu zijazo huenda akawa ametua nchini," Manara aliiambia Wasafi FM radio

Shiboub ni mchezaji pekee ambaye bado hajajiunga na kikosi cha Simba baada ya fundi Clatous Chama kuwasili mwishoni mwa wiki

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’