Sven afunguka maendeleo ya kikosi chake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jun 2020
Sven afunguka maendeleo ya kikosi chake

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema kikosi chake kimeimarika na kiko tayari kwa mikiki mikiki ya ligi kuu ya Vodacom itakayoendelea kuanzia Jumamosi ijayo

Mbelgiji huyo ameeleza kuridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji kwenye mechi mbili za kirafiki juzi

"Nilifurahishwa na viwango vya wachezaji katika mechi tulizocheza. Sizungumzii matokeo, kikubwa ni jinsi wachezaji walivyocheza na kuweza kushinda"

"Nadhani kwa kiasi wachezaji wameonyesha wako tayari kuendeleza pale tulipoishia wakati ligi inasimama. Tutawaongezea mbinu zaidi kabla ya mechi yetu dhidi ya Ruvu Shootinga," amesema

Sven ameendelea kuwanoa wachezaji wake kuelekea mchezo dhidi ya Ruvu Shootinga ambao utakuwa wa kwanza kwa mabingwa hao wa nchi baada ya ligi kurejeshwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’