TFF yaruhusu mechi za kirafiki, uwanja wa Mo Simba Arena wazuiwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jun 2020
TFF yaruhusu mechi za kirafiki, uwanja wa Mo Simba Arena wazuiwa

Shirikisho la Soka Tanzania TFF limeruhusu michezo ya kirafiki kuendelea kwa masharti ya kuzingatia mwongozo uliowekwa kuhusu tahadhari dhidi ya maambukizi ya Corona

Jana usiku shirikisho hilo liliweka zuio kwa michezo hiyo mpaka litakapokutana na vilabu vya Simba, Yanga, Azam, KMC na Transit Camp, kikao ambao umefanyika leo na mwafaka kufikiwa

Hata hivyo TFF imeizuia klabu ya Simba kutumia uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya michezo ya kirafiki kwa kuwa uwanja huo bado hauna eneo la kuweka mashabiki na hivyo uendelee kutumika kwa ajili ya mazoezi tu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’