TFF yazuia michezo ya kirafiki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jun 2020
TFF yazuia michezo ya kirafiki

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza kusitisha michezo yote ya kirafiki mpaka pale itakapojadiliana na timu za Simba, Yanga, Azam Fc, Transit Camp na KMC

Taarifa iliyotolewa na Shirikisho hilo usiku wa jana, ilibainisha kuwa hakuna mchezo wa kirafiki unaruhusiwa kuchezwa bila ya ruhusa yao

Hivi karibuni TFF ilivikumbusha vilabu vinavyoandaa michezo ya kirafiki kuzingatia tahadhari ya ugonjwa wa corona kama Serikli ilivyoelekeza

Hata hivyo kumekuwa na changamoto kuwadhibiti mashabiki ambao wanajitokeza kwa wingi kushuhudia michezo mbashara baada ya kukosa burudani hiyo kwa takribani miezi miwili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’