Kiungo fundi wa Simba, mabingwa wa nchi Clatous Chama, ameanza mazoezi tayari kurejea kikosini kwa ajili ya kutamatisha ngwe ya mwisho ligi kuu ya Vodacom pamoja na kombe la FA
Chama alitua nchini jana Jumapili kutokea kwao Zambia ambako alikuwa amekwama kutokana na changamoto ya ugonjwa wa corona
Mwamba huyo kutoka jiji la Lusaka, amerejea ndani ya wakati mwafaka kuelekea mchezo dhidi ya Ruvu Shooting


ADVERTISE HERE