Simba yaanza na Transit Camp, yashinda 4-2

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jun 2020
Simba yaanza na Transit Camp, yashinda 4-2

Ikiwa ni sehemu ya mazoezi yake, leo asubuhi kikosi cha Simba kilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Transit Camp inayoshiriki ligi daraja la kwanza

Mchezo huo uliopigwa uwanja wa Mo Simba Arena, uliishuhudia Simba ikiibuka na ushindi wa mabao 4-2

Mabao ya Simba yaliwekwa kambani na Deo Kanda, Gerson Fraga, Tairone da Silva mwamba mwenyewe Meddie Kagere

Transit Camp ilifunga mabao yake kupitia Hamadi Habibu na Nisile Kisimba

Mabingwa hao wa nchi jioni watacheza mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya KMC

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’