Chama yuko fiti, aingia kambini moja kwa moja

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jun 2020
Chama yuko fiti, aingia kambini moja kwa moja

Baada ya kuwasili kutoka Zambia jana kiungo fundi Clatous Chama 'CCC' maarufu mwamba wa Lusaka, alifanyiwa vipimo vya Afya na kisha kuelekea moja kwa moja kambini kujiunga na wachezaji wengine

Chama ameanza rasmi mazoezi leo, yeye akianza na program aliyoandaliwa na kocha Sven Vandenbroeck

Mbelgiji huyo amesema Chama atafanya mazoezi hayo kwa siku nne hadi tano kabla ya kujumuika na wachezaji wengine ambao tayari wamefanya mazoezi ya pamoja kwa siku 12

Leo jioni Simba itacheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya KMC ambao utapigwa uwanja wa Mo Simba Arena

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
4h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
5h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
8h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’