Kiungo wa Kimataifa wa Zambia anayekipiga na mabingwa wa nchi, Simba Clatous Chama, amewasili mchana wa leo Jumapili kuungana na kikosi cha timu hiyo
Mwamba huyo kutoka jiji la Lusaka anatarajiwa kuelekea kambini moja kwa moja na kuanza mazoezi baada ya kufanyiwa vipimo vya afya
Sasa ni nyota mmoja tu wa kigeni ambaye bado hajarejea, Sharaff Shiboub kutoka Sudan


ADVERTISE HERE