Shiboub bado utata, Chama kutua wakati wowote

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jun 2020
Shiboub bado utata, Chama kutua wakati wowote

Kiungo fundi Mzambia Clatous Chama anatarajiwa kuwasili wakati wowote kuungana na kikosi cha mabingwa hao wa nchi

Chama na Msudan Sharaff Shiboub ndio wachezaji pekee ambao mpaka sasa hawako kambini nchi zao zikiwa bado zimefunga mipaka kutokana na changamoto ya ugonjwa wa corona

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck alisema kuwa Chama anaweza kuwasili leo au kesho

Aidha Mbelgiji huyo alikiri kuwepo kwa ugumu kumpata Shiboub ambaye nchi yake imeweka masharti makali ya kutoka nje

Kikosi cha Simba kinaendelea kujifua katika uwanja wake wa Mo Simba Arena kujiandaa na mechi za kuhitimisha msimu, mabingwa hao wa nchi wakihitaji kushinda mechi tano kati ya 10 zilizobaki ili kutetea ubingwa wao kwa msimu wa tatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’