Wachezaji wetu hawali chips - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jun 2020
Wachezaji wetu hawali chips - Manara

Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara amesema wachezaji wa timu hiyo walikuwa wakitekeleza program ya mazoezi ipasavyo wakati wa mapumziko ya corona

Manara amesema vipimo vilivyofanywa kwa wachezaji kabla ya kuanza mazoezi ya pamoja wiki iliyopita, vimeonyesha kuwa wote walizingatia maelekezo waliyokuwa wakipewa na benchi la ufundi

"Wachezaji wetu wamerejea wakiwa sawa, hakuna aliyeongezeka uzito wala urefu. Nahodha, John Bocco na wenzie wapo vile vile kwa kuwa walijua kuitunza miili yao," alisema Manara

Manara alitoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii baada ya baadhi ya timu wakiwemo watani zao Yanga kulalamika kuwa wachezaji wao hawakufuata maelekezo waliyokuwa wakipewa na Walimu wao

Katika timu hiyo, wapo wachezaji wameongezeka uzito mpaka kilo 12

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
5h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
11h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
14h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’