Kocha mpya wa Simba Pierre Lechantre leo ameanza kazi ya kuiona Simba.
Mazoezi ya Simba ya leo Jumatano jioni yamefanyika kwenye Uwanja wa Bandari, Tandika jijini Dar es Salaam.
Lechentre anasaidiwa na makocha wengine wawili ambao ni Masoud Djuma raia wa Burundi pamoja na Mohamed Habibi kutoka Tunisia.

ADVERTISE HERE