Kahata ni fundi kwelikweli - Shamte

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jun 2020
Kahata ni fundi kwelikweli - Shamte

Mlinzi kiraka wa Simba Haruna Shamte amemtaja kiungo Francis Kahata kuwa ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu

Shamte amemtaja Kahata kuwa mchezaji mwenye vitu adimu uwanjani, lakini pia ni mchezaji mcheshi na anayependa kushirikiana na wenzake

"Ni mchezaji mwenye kipaji sana na mwenye uwezo mkubwa uwanjani. Pia ni mcheshi sana na anayependa kutoa ushauri kwa wenzake," amesema Shamte

Mchango wa nyota huyo kwenye kikosi cha Simba umeonekana mapema kwenye msimu wake wa kwanza mpaka sasa akiwa ametupia mabao matano na kutoa pasi tano za mabao

Kahata alijiunga na Simba akitokea klabu ya Gor Mahia ambayo aliikacha baada ya kumaliza mkataba

Yuko kwenye kikosi cha Simba kinachoendelea na maandalizi tayari kukamilisha michezo ya mwisho ligi kuu ili kutetea ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo

Mabingwa hao wa nchi pia wamelipania taji la FA

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’