Makocha wa Simba 'wana-enjoooy'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jun 2020
Makocha wa Simba 'wana-enjoooy'

Pichani mabosi wa benchi la ufundi la klabu ya Simba wakiteta jambo kabla ya kuanza 'session' ya mazoezi

Hivi karibuni kuliibuka minon'gono ya hapa na pale inayodai kutokuwepo kwa maelewano mazuri kati ya kocha mkuu Sven Vandenbroeck na makocha wengine wanaomsaidia majukumu

Hata hivyo, jambo hilo halionekani kuwa na ukweli  wowote kwani kwa muda mwingi, wakufunzi hao wanaonekana kuwa wenye furaha, wanaendelea kutimiza majukumu yao kama kawaida

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
34m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’