Chama aandaliwa program maalum Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jun 2020
Chama aandaliwa program maalum Simba

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema kiungo Mzambia Clatous Chama anatarajiwa kuwasili nchini Jumatatu, Juni 08 kuungana na wachezaji wengine tayari kwa ngwe ya lala salama ligi kuu ya Vodacom

Sven amesema nyota huyo atakaporejea atakuwa na program ya peke yake ya mazoezi ili kuhakikisha anakuwa sawa kabla ya kuungana na wachezaji wengine ambao walianza mazoezi tangu wiki iliyopita

"Chama ataingia Juni 8 na atakaporejea atalazimika kujifua kivyake kwa ajili ya kujiweka fiti kabla ya kuungana na wenzake katika mazoezi ya nguvu," alisema Sven

Mbelgiji huyo alisema mazoezi yanaendelea na wachezaji wote wako vizuri, huku akitarajia Francis Kahata na Ibrahim Ajibu leo kuungana na wenzake katika mazoezi ya kucheza mpira

Aidha kuhusu kiungo Sharaff Shiboub, Sven amesema kumekuwa na ugumu kumrejesha Msudan huyo kutokana na nchi ya Sudan bado imefunga mipaka

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’