Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kinaendelea na kujifua katika dimba lake la Mo Simba Arena kujiandaa na mikiki mikiki ya ligi kuu ya Vodacom inayorejea Juni 13
Kocha Sven Vandenbroeck ameendelea kuwanoa vijana wake kimbinu






ADVERTISE HERE