Mabingwa wa nchi Simba wameendelea kujifua kikamilifu kujiandaa na ngwe iliyobaki ligi kuu pamoja na kombe la FA
Wakiwa wanahesabu siku kabla ya 'kusepa' na taji la ligi kuu, wababe hao wa soka hapa nchini wamepania 'kusepa' na taji la FA pia
Baada ya kufanya mazoezi makali wiki iliyopita, wiki hii soka 'jingi' limeendelea kupigwa uwanja wa Mo Simba Arena







ADVERTISE HERE