Sven anoa mbinu wachezaji Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Jun 2020
Sven anoa mbinu wachezaji Simba

Wiki iliyopita wachezaji wa Simba walifanya program za mazoezi ambazo muda mwingi zilisimamiwa na kocha wa viungo. Mazoezi hayo yalikuwa maalum kuimarisha miili ya wachezaji baada ya kurejea katika majukumu yao, miezi miwili tangu ligi iliposimama kutokana na janga la corona

Kuanzia jana kocha Sven Vandenbroeck amebadilisha program ya mazoezi ambapo sasa wachezaji wanafanya sehemu kubwa ya mazoezi uwanjani wakicheza mpira

Sven ameanza kuwanoa wachezaji wake kimbinu tayari kwa mchezo wao wa kwanza dhidi ya Ruvu Shooting ambao utapigwa Juni 14 2020

Meneja wa mabingwa hao wa nchi Patrick Rweyemamu amesema mpaka sasa kikosi chao kiko katika hali nzuri, wachezaji wote wakiwa 'timamu' kiafya kuelekea kutetea ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’