Mabingwa wa nchi Simba leo wameendelea na mazoezi katika dimba lao la Mo Simba Arena yakiwa ni maandalizi tayari kumalizia mechi zilizobaki ligi kuu pamoja na kombe la FA
Katika mazoezi hayo, viungo Ibrahim Ajib na Francis Kahata walijumuika katika mazoezi ya pamoja na wachezaji wengine, wao wakipewa program maalum
Kahata alitua kambini jana wakati Ajib ameripoti kambini siku ya leo







ADVERTISE HERE