Kiungo fundi wa Simba Francis Kahata amewasili nchini usiku wa kuamkia leo tayari kuungana na wachezaji wengine kuendelea na maandalizi ya kumaliza msimu
Nyota huyo leo atafanyiwa vipimo vya afya kisha kuungana na wachezaji wengine
Nyota mwingine ambaye anasubiri kuwasili wakati wowote ni Mzambia Clatous Chotta Chama, huku taratibu za kumleta Sharaff Shiboub zikiendelea
ADVERTISE HERE